Wizara + TFF

Hadrianus

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2020
Posts
2,112
Reaction score
5,229
Kwa upuuzi uliofanyika leo, mashabiki tususie mechi zote za timu za taifa ili Wizara ya Michezo na TFF wawe wanaenda viwanjani wao kushangilia hizo timu.

Kwa jambo lililotokea leo ni kutudharau mashabiki wa mpira wa miguu, watu wametumia gharama kubwa sana hadi kufika uwanjani "kwa mkapa" ukizingatia hali ya maisha ya Mtanzania.

La sivyo wawalipe mashabiki wote walio ingia gharama kufatilia mchezo huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…