Wizara ya Afya: ARV zipo za kutosha

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Wizara ya Afya imewatoa wasiwasi Watanzania juu ya uvumi uliokuwa ukiendelea kuhusu uhaba wa ARV kutokana na maamuzi yaliyochukuliwa na Rais Trump hivi karibuni ya kusitisha misaada kwa siku 90 kupitia shirika lake la USAID.

Pia soma:

Wizara imesema dawa hizo haziuzwi, inatolewa bure na kwamba zipo za kutosha hivyo watuamiaji wa dawa hizo hawana haja ya kuingiwa na hofu juu ya upatikanaji wake.


Wizara ya Afya Tanzania

=====

Pia soma: DOKEZO - √ - Wizara ya Afya Ingieni kazini. Kuna wahuni wanatengeneza janga la lazima, ARV zitaanza kuuzwa muda Si mrefu!
 
Nahisi members wa jamiiforum ndio wameenda kutaka wabebe akiba yote ya hizo dawa sababu ndio wenye uelewa na siasa za dunia🤣🤣
 
Niliandika hili hapa tarehe 28/1.



 

Never trust them.

WaCongoman Wana Kiswahili chao cha kusema kwamba 'akili kumkichwa.'
 
Duhh....
Afadhali, ngoja tuendelee kupigana pipe kama kalambwanda...😜
 
Tulivyowajinga na wasahaulifu tutawaamini!

Virusi vya Ujamaa bado havijatutoka! Lini serikali na taasisi zake wanasema ukweli....

Hivi wapendwa wapiganaji wetu waliopo Goma wanaendeleaje?
 
Zinatosha hadi lini?
 
Kwa hili watanzania wenzangu tusiwe na hofu kwa sababu hao viongozi wetu asilimia 90% ni watumiaji wa pipi so dawa zitapatikana tu maana hata wao wanaogopa kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…