wizara ya afya DIPLOMA

Ramso boy

New Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
3
Reaction score
1
Jamani kuna tetec za kutoka kwa matokeo ya diploma ila cjawa na uhakika kama vp kama kuna taarifa comfirmed ani company kwa hilo!
 
mambo bado maybe tomorrow kwa sababu wengi wanasema hvyo ila tunatakiwa kuwa na subira
 
Vijana msiwe na wasiwasi, majina bado, ila yako mbioni kutoka.
Msikae mbali na JF kwani yakitoka tu tutamwaga taarifa humu humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…