Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Epuka kula vyakula kwa mama lishe wasiofuata kanuni za afyaPana utafiti uliisha fanywa kuwa kutumia mifuko ya plastiki kufunikia wakati wa kupika ni hatari kwa afya. Lakini hapa Dar mama lishe wengi wanaitumia katika kupikia vyakula. Hivi mamlaka husika haioni hili?