Pana utafiti uliisha fanywa kuwa kutumia mifuko ya plastiki kufunikia wakati wa kupika ni hatari kwa afya. Lakini hapa Dar mama lishe wengi wanaitumia katika kupikia vyakula. Hivi mamlaka husika haioni hili?