nionavyo mimi ijumaa c mbal maana 2shasubir sana,nilim2ma m2 wizaran akaambiwa reporting date chuon n tar 15 Nov,so mpaka tar 10 yatakua,hewan 2we na subira wadau
Cyo November! Ni mwezi huu wa 10 tarehe 15.
Kwa tuliyotuma bila kugonga mihuri ya mwanasheria wa serikali kwenye vyeti vyetu kazi tunayo kwenye kuchaguliwa!
Ngoja tuone Itakuwaje?