Wao ndio watajiona wajinga. Too bad wameshachelewaHabari wakuu
Jana usiku baada ya Mange Kimambi kutuma video ikionesha maiti za waandamanaji zikiwa zimerundikwa kama mikungu ya ndizi hapo Mortuary ya Mwananyamala hospital,
Wizara ya Afya kupitia page zao WALIKANUSHA eti ni FEKI.
Kitu ambacho kiliibua hasira kali na watu kuanza kushambulia page zao. Aibu ikawaingia WAMEFUTA POST ZAO ZA KUKANUSHA.
Yaani wauaji bado mtahangaika sana ila mwisho wenu ni mbaya sana.
Naam 9 December tutakuwepo!
Duuh nini wanaelewa wanachokofanya wanapingana na ukweli wa mambo mmeua watu mpaka mmekosa pa kwenda kuziweka zingine mmezifukia kwa mafungu somewhere bila uoga? Kitaeleweka tu
Wait & SeeSamia hasipo jiuzulu, kuna vita vya kutumia silaha vinakuja baina ya wananchi na serikali…nchi ipo hatarini, wao wameshupaza shingo
Samuya must go......hakuna jinsi huwezi kutawala na damu hiviii bila hatia urais si zaidi ya Taifa na Utu.....nenda mwana kwenda....historia itakumbuka mileleSamia hasipo jiuzulu, kuna vita vya kutumia silaha vinakuja baina ya wananchi na serikali…nchi ipo hatarini, wao wameshupaza shingo
Sio pekeyao wapo na watu wao wengi tu humu humu daily wanaumbuka tu gallow bird ni mmoja wapoKila kitu kazi yao kukanusha then mwisho wa siku wanaumbuka, watu kibao wanaona ndugu zao hapo, wengi wameona ndugu zao, yani hasira hasira daah
Labda ndugu yako sio sisi, huyo shetani hafai kuitwa ndgNdugu yetu Samia . Kila mtu anajua kuwa wewe ndiyo chanzo cha nchi kukosa Amani . Utulivu na Yaharuki . Kwanini Usiondoke ? Watu hawakutaki nendaaa. Utaendelea kuua mpaka lini ? Kwann unajitafutia dhambi ? Kama utajiri umeshaupata . Tuachie nchi Mama. hali mbaya SANA
Wakiwa kinyonge ndio watashtukiwa zaidi so lazima wazuge na confidence fake kuonesha hakuna big dealSerikali yao yooote imejaa damu, walivyo mafala wanafurahia tu, hivi ni madaraka tu au Kuna kitu kingine jamani, kama ni hela ndio hizi hizi ukifa unaziacha ndio umwage Damu nyingi hivi..