Wizara ya afya itatoa lini post za wanafunzi?

Lilnasser

Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Maka sasa wengi walioomba nafasi za kusoma katika vyuo vya AFYA bado wapo kwenye wakati mgumu
hasa pale wanaposikia kuwa kuna ushindani balaa.
je,ni lini Wizara ya AFYA itaziwasilisha post hizo ili kila mtu ashike ustaarabu wake?
 
Kwa maelezo toka kwa kijana ninayemwamini ameenda wizarani kuuliza kaambiwa mwezi huu mwishoni au wa tisa
 
Sasa kama upata ualimu afu afya ukpata kuna uwezekano kuacha ualimu na kurud afya huku usharpot tayar?
 
Mifugo na uvuvi wametoa leo!kama pia uliomba cheki ndg

Bora kuvuta mda kidogo kama ukipata wizara ya afya unapotezea ualimu
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1376189667764.jpg
    60.6 KB · Views: 147
Lakin fununu vp lakin kuhusu tareh zao

afya kwa sasa iv ni ndoto kupata,.na kupata ni bahat sana..coz raia ni shaz waliaply..so kama tuna cha kufanya bora tujipange kivingine..tusitegemee kiviiile tutasanda..hata wakitoa selection mwz wa 12
 
Jamaa ushakata tamaa aisee sijui mungu akikujaalia umechaguliwa furaha yake sijui itakuwaje.usife moyo hata mungu hapendi watu kama nyinyi mnaokata tamaa mapema badadala ya kumuamini yeye kwamba utachaguliwa we unapoteza hope usijali kijana
 
Sijui hao jamaa kama na this year wanaweza leta longo longo kama last year ni kuomba mungu tu.
 
oya hapo lazima uchukuliwe ila ni ya kumuomba sana mungu ,je matokeo lini sasa wakuu
 
kaka ni hivi Phy-C, Chem-D, Bio-C, Bmaths-D, Englanguage-C. Hapo niaje?
Mkuu subiri kwenda chuo tu Kwa tokeo hilo kama kweli 100% lazima upate kwenye cheti Ila si tuliomba diploma Kwa bio c chem c phy d engl d na math f ndo tunaumiza kichwa
 
Mkuu subiri kwenda chuo tu Kwa tokeo hilo kama kweli 100% lazima upate kwenye cheti Ila si tuliomba diploma Kwa bio c chem c phy d engl d na math f ndo tunaumiza kichwa

Kikubwa ndo kuomba mungu kaka awe pamoja nasi katika hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…