Wizara ya afya itatoa lini post za wanafunzi?

Jaman vipi kwa sisi tuliomba diploma muhimbili,selection lini?
 
Jaman niliomba diploma za medical lab sciences,pharmacy,na enviroment health science.nme2mia chet cha form 4 na 6 .ambapo form 4 nna physcs-C,chem-C na Bio-C.Na kwa form 6 nna Physcs-f,chem-E na Bio-E..Hivi kweli muhimbili watanichukua?
 
Private or government? nayo pia ita depend on competition maana yake muhas pale navyopafahamu! Ila kuomba mungu lakini kama ulijaribu moh ni vyema sana una good results hauwezi kosa.
 
Goverment.ubaya kwa moh nliomba diploma ya dental therapy kwa chet cha form 4.ndo maana moh ckutumainii xaana!kwan navyojua mm competition yao kubwa.
 
Mwakajana nili apply tcu kwa tokeo la div 3-14 ila nikatemwa pale st.francis course ya md then wakanichagua bsc.physc udom ila intention yang ni kusoma course za afya mwaka huu nikaamua ku apply wizara ya afya course ya clinical officer kwa tokeo la 4m 4 nina bio-b,phy-b,chem-a,math-a na eng-d vp naweza kabiliana na hiyo competion?
 
wasipokuselect mkuu nitafute tuandamane
 
Kwa tokeo kama hilo mi nadhani we kusikilizia tu maana yake ni liko sawa sana juu ya entry requirements naweza sema kazi ya mungu inahitajika hapo safi sana.
 
Goverment.ubaya kwa moh nliomba diploma ya dental therapy kwa chet cha form 4.ndo maana moh ckutumainii xaana!kwan navyojua mm competition yao kubwa.

Muhas uwaga pagumu government sponshorship, napo pale kuna competition kubwa sana ila unaweza pata ila moh napo una matokeo mazuri.
 
Mmmh, bhana eeeh!! Me naona likitoka hilo ndo linafuata la waliochaguliwa, hiv na vipi kuhusu kilimo, wametoa?
 
Mmmh, bhana eeeh!! Me naona likitoka hilo ndo linafuata la waliochaguliwa, hiv na vipi kuhusu kilimo, wametoa?

Wakiachie tu huko kilimo kama vp pitia web yao pia hata wizara kama ya ardhi nao bado so fanya kuperuse unaweza ya bamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…