S sakimbo Member Joined Apr 1, 2015 Posts 10 Reaction score 1 Apr 2, 2015 #1 Habar zenu humu ndani, hivi wanafunzi wote waliosomea course za AFYA miliomaliza mwaka jana mmeshaenda intern? Maana kuna ambao tuko kitàa hadi sasa na hatujui hatima yetu, naomba taarifa tafadhali
Habar zenu humu ndani, hivi wanafunzi wote waliosomea course za AFYA miliomaliza mwaka jana mmeshaenda intern? Maana kuna ambao tuko kitàa hadi sasa na hatujui hatima yetu, naomba taarifa tafadhali