Wizara ya afya kuna nini?

Wizara ya afya kuna nini?

big IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
491
Reaction score
892
Wadau kuna huyu dogo alimaliza 2008 div III ya point 22 phy C,chem C,bios C,Math D na English C akaomba clinical officer(diploma)mwaka jana akakosa,ina maana wauguzi wametosha au?
 
Back
Top Bottom