B big IQ JF-Expert Member Joined Dec 16, 2012 Posts 491 Reaction score 892 Apr 5, 2013 #1 Wadau kuna huyu dogo alimaliza 2008 div III ya point 22 phy C,chem C,bios C,Math D na English C akaomba clinical officer(diploma)mwaka jana akakosa,ina maana wauguzi wametosha au?
Wadau kuna huyu dogo alimaliza 2008 div III ya point 22 phy C,chem C,bios C,Math D na English C akaomba clinical officer(diploma)mwaka jana akakosa,ina maana wauguzi wametosha au?