Chuo kilikuwepo zamani kabla ya Kuunguliwa na moto ,Tangu kiungue na moto chuo basi ndo ikawa mwisho ya kuchukuwa wanafunzi na wanafunzi wengine wakahama kabisa sasa kwanini wasikifufue ili kuongeza wataalamu wa afya ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.