Solar pro Member Joined Jan 30, 2021 Posts 56 Reaction score 190 Jan 10, 2023 #1 Chuo kilikuwepo zamani kabla ya Kuunguliwa na moto ,Tangu kiungue na moto chuo basi ndo ikawa mwisho ya kuchukuwa wanafunzi na wanafunzi wengine wakahama kabisa sasa kwanini wasikifufue ili kuongeza wataalamu wa afya ?
Chuo kilikuwepo zamani kabla ya Kuunguliwa na moto ,Tangu kiungue na moto chuo basi ndo ikawa mwisho ya kuchukuwa wanafunzi na wanafunzi wengine wakahama kabisa sasa kwanini wasikifufue ili kuongeza wataalamu wa afya ?
wilmar JF-Expert Member Joined Nov 27, 2018 Posts 416 Reaction score 1,113 Jan 10, 2023 #2 Kwanini usishauli wakifanyie marekebidho badala ya kukifunga...
Kilawo JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 1,631 Reaction score 2,778 Sep 1, 2024 #3 Tunduru napo Wanaishi watu we sehemu ukienda safari zako kulala shida sana..
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Sep 1, 2024 #4 Kihuma?? Mbna ipoo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 1, 2024 #5 Kiendelee kuwepo... Cc: Mahondaw
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Sep 2, 2024 #6 Smart911 said: Kiendelee kuwepo... Cc: Mahondaw Click to expand... Yeah Afya ni mtaji lo