Wizara ya afya matokeo!

Bongoclever

Senior Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
105
Reaction score
11
Taarifa nilizozipata masaa machache ni kwamba,
Matokeo ya waloomba wizara ya afya yanabandikwa katika kanda uliyo ombea.
Kuna mshkaji wa Kigoma amesema tayari Katika mkoa wa Kigoma matokeo yamebandikwa wizarani.
NGOJA TUSUBIRI NA SISI WA MIKOA MINGINE!
 
Mbona kwenye Website yao hayapo?
 

Asante kwa taarifa nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…