Wizara ya afya naipenda ila hapa.

Wizara ya afya naipenda ila hapa.

KISUNZU

Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
43
Reaction score
5
JAMANI NDUGU ZANGU NAOMBA SAMAHANI KWA POST YANGU ILIKUWA INAWAAMBIA BADO SIKU 3 WIZARA YA AFYA. Kwa kweli hzi data nilizipata walipotuma ratiba ya moja kwa moja Chuoni kwangu kwamba watatangaza kuanzia tar 5-10 mwezi huu. Lakini wameonekana waongo kwa kutofanya hvo na mimi kuiamin kwa kweli samahani. Hata mimi kwa hili Nimeudhika. Asanteni.
 
Usijali mkuu hii wizara ni kawaida kutudanganya maana wakati wa kujaza form ya maombi walitwambia masomo yanaanza october 1 mara wakafanya marudio ya maombi wakasema mhula unaanza october 14 ambayo ni leo hivi hii wizara vipi mbona haieleweki?
 
Kweli kaka but mi mwenyewe wameniambia tar 15- October dah! A don know kama itakua reall, let's pray.
 
Cjui lini Tanzania itabadilika kwa maana iko out ov time,the really government iko USA kwa maana they don play with time or calendar. Let's pray 4 our country .
 
sasa wataanzaje hata majina hawajatoa? au wale wanaoendelea tu? waanze kesho,majna watoe kesho,na walioko mikoan je km watakuw wamepelekwa vyuo vlvyo nje ya mikoa yao?
 
Wanakwepa gharama,kumbuka ile "cost sharing" so huku kuchelewesha wanajua kuwa wengi watashindwa kuvumilia(na kati ya walioshndwa wapo wale watakao chaguliwa) na kuamua kuangalia issue zingine hatimaye nafuu kuwa kwa wizara
 
Back
Top Bottom