#COVID19 Wizara ya Afya: Tunatamani watu wote wapate chanjo ya COVID-19

#COVID19 Wizara ya Afya: Tunatamani watu wote wapate chanjo ya COVID-19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
DKT. MOLLEL: HATULAZIMISHI MTU LAKINI TUNATAMANI WOTE WAWEZE KUCHANJWA

Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema hawalazimishi mtu kupata chanjo ya #COVID-19 lakini wanatamani kila mmoja aweze kuchanjwa.

Amesema ili nchi iwe salama ni lazima 60% ya watu wawe wamepata chanjo.

Hadi sasa wamepata maombi kutoka taasisi nyingi nchini wakiomba chanjo jambo linalofanya chanjo zilizopo kutotosha.

Ameyasema hayo katika kipindi cha Clouds 360.
 
Acheni tamaa tena wewe moleli si ndio ulikuwa unaongoza mapambano dhidi ya mabeberu na mbinu zao za kukabiliana na covidi ?🤣🐒
 
20210730_100827.jpg
 
Back
Top Bottom