Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Wizara ya Afya imetangaza kwa kipindi cha kuanzia Februari 5 hadi Machi 4 kumekuwa na visa vipya 290, ambapo 136 walilazwa ambapo 128 kati ya waliolazwa hawakuwa wamepata chanjo.
Wizara imetangaza vifo vya watu 8 ambao wote hawakuwa wamepata chanjo. Huku watu 4 wakiwa mahututi
Serikali imesema hadi sasa watu 2,664,373 wamepata dozi kamili ya kujikinga na virusi vya corona