#COVID19 Wizara ya Afya; Watu 8 wafariki kwa COVID-19 ndani ya mwezi mmoja

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Wizara ya Afya imetangaza kwa kipindi cha kuanzia Februari 5 hadi Machi 4 kumekuwa na visa vipya 290, ambapo 136 walilazwa ambapo 128 kati ya waliolazwa hawakuwa wamepata chanjo.

Wizara imetangaza vifo vya watu 8 ambao wote hawakuwa wamepata chanjo. Huku watu 4 wakiwa mahututi

Serikali imesema hadi sasa watu 2,664,373 wamepata dozi kamili ya kujikinga na virusi vya corona
 
Tuhamasishane kuvaa masks
 
N
Mbona nimesikia braza Vladimir ameitokomeza Corona?
 
haya mambo tulishasahau sasa hivi toeni tamko vita vya Russia na Ukraine acheni kutuletea mambo ya zama za kale tulishahama huko
 
Wameanza tena😁 watu tulishasahau Habari hizi jicho la Dunia liko Bize kufuatilia mtifuano wa Russia na Ukraine
 
Mkuu hivi tusingechukua pesa wananchi wasingepaswa kujilishwa kuhusu corona? Mbona takwimu za magonjwa mengine huwa tunapewa?
 
Mkuu hivi tusingechukua pesa wananchi wasingepaswa kujilishwa kuhusu corona? Mbona takwimu za magonjwa mengine huwa tunapewa?
Hizo takwimu za magonjwa mengine kwa kila mwezi ziko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…