mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Tangu saa 3 tupo kituoni chanjo hizi za kampeni zimeisha.wametuambia tusubiri wataleta tumesubiriiii weee bado hadi sasa.itabidi kuondoka na kurudi tena.
Ushauri kwa wizara: mnapotangaza muwe mmehakikisha chanjo zipo za kutosha jamani maana lazima watu watakuja wengi tu.
Ushauri kwa wizara: mnapotangaza muwe mmehakikisha chanjo zipo za kutosha jamani maana lazima watu watakuja wengi tu.