mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Jamaaa kwani mnahisi mtaumwa ugonjwa gani hadi mnasubiri chanjo namna hiyo? Tuwe makini isije kuwa kama west africa....wamepewa chanjo ambayo ni ugonjwa wa ebola, na pia kuna watoto pia walipigwa chanjo kumbe waliambukizwa virusi vya ukimwi....tuweni makini wa tzTangu saa 3 tupo kituoni chanjo hizi za kampeni zimeisha.wametuambia tusubiri wataleta tumesubiriiii weee bado hadi sasa.itabidi kuondoka na kurudi tena.
Ushauri kwa wizara: mnapotangaza muwe mmehakikisha chanjo zipo za kutosha jamani maana lazima watu watakuja wengi tu.
Samahani hiyo ni chanjo ya ugonjwa gani?Tangu saa 3 tupo kituoni chanjo hizi za kampeni zimeisha.wametuambia tusubiri wataleta tumesubiriiii weee bado hadi sasa.itabidi kuondoka na kurudi tena.
Ushauri kwa wizara: mnapotangaza muwe mmehakikisha chanjo zipo za kutosha jamani maana lazima watu watakuja wengi tu.
Jamaaa kwani mnahisi mtaumwa ugonjwa gani hadi mnasubiri chanjo namna hiyo? Tuwe makini isije kuwa kama west africa....wamepewa chanjo ambayo ni ugonjwa wa ebola, na pia kuna watoto pia walipigwa chanjo kumbe waliambukizwa virusi vya ukimwi....tuweni makini wa tz
Samahani hiyo ni chanjo ya ugonjwa gani?
mimi wanangu sijawapeleka,walishapata hizi chanjo walipokuwa na miezi 9,wakapewa ile ile tena wakiwa na miezi 18