Wizara ya Afya Tanzania
Official Account
- Oct 1, 2020
- 58
- 127
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio wamekanusha kwamba hawajatoa taarifa sio kwamba watu hawajapofuko (yaani suala la kupofuka hawajui) na je hizo tina mbadala sinapofusha ? Na kama zinapofusha kwanini watu wasipofuke ?Baada ya kusambaa kwa taarifa za watu 7 kupata upofu kutokana na ugonjwa wa macho mekundu (Red Eyes), Wizara ya Afya nchini, imekanusha taarifa hiyo, huku ikisisitiza kuwa taarifa hiyo haijatolewa na Wizara hiyo kama ambavyo imeripotiwa.
Chanzo: ITV
inamaana hiyo taarifa ya upofu wa hao watu bado haina ithibati (mpaka muda huu ni yauzushi)Kwahio wamekanusha kwamba hawajatoa taarifa sio kwamba watu hawajapofuko (yaani suala la kupofuka hawajui) na je hizo tina mbadala sinapofusha ? Na kama zinapofusha kwanini watu wasipofuke ?
Hili short hili kanusho uliloleta bado lina utata....
Kwanini wao wasifuatilie ukweli wake na wakati wanafuatilia waseme kwamba Hatujatoa hii Habari wala Hatuna Taarifa (Tunafuatilia) Sababu wakisema hakuna upofu wakati watu wanaendelea na hizo Tiba mbadala ambazo zinaweza kuleta Upofu huoni bado kuna sintofahamu ?inamaana hiyo taarifa ya upofu wa hao watu bado haina ithibati (mpaka muda huu ni yauzushi)