Wizara ya Afya yatoa tahadhari ya kuwepo kwa magonjwa ya mlipuko kutokana na mvua zilizosababisha mafuriko maeneo mbalimbali

Ulisika Dar imekuwa kama Urayaaaa ndiyo hii sasa. Yaani Dar kama Randan
 
Tatizo milori imejazana hapa kariakoo mpaka foleni imekuwa ya miguu sasa badala ya magari
Watu wanajisaidia pembezoni mwa barabara lazima mlipuko wa maradhi utokee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…