Wizara ya afya yatoa tangazo la nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014

nina PHYSICS-F,CHEMISTRY-C,BIOLOGY-D,MATH-D,ENGLISH-F..Niki appl certificate naweza kupata?
 
Duh! Hivi kuhusu hawa form 4 wapya waliofaulu inakuaje?
 
Je hawa form four wapya walio faulu hawaja pewa muda wa nyongeza katika kutuma maombi?
 
Inchi hii majanga kwlkwl,vp madogo wetu wa fm sx,4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…