Wizara ya afya: Zaidi ya watu 580 wamefariki dunia kwa mashambulizi ya Israel Huko Lebanon

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
10,786
Reaction score
35,916
Zaidi ya walebanon 580 wamekufa Toka Jana Hadi Leo kwenye mashambulizi ya anga ya Israel pia zaidi ya watu 1,835 wamejeruhiwa.
Waziri wa afya wa Lebanon ametoa ripoti hii Leo asubuhi

Toka Jana kumekuwa na mwitikio mkubwa wa raia kuondoka kwenye maeneo Yao na kuelekea upande wa kaskazini..... Huu ni muda wa kuimaliza tofauti zao hawa watu maana kama vita hii itaendelea zaidi ya wiki 4 walebanon watakufa wengi Sana
20240924_135153.jpg
 
Zaidi ya walebanon 580 wamekufa Toka Jana Hadi Leo kwenye mashambulizi ya anga ya Israel pia zaidi ya watu 1,835 wamejeruhiwa.
Waziri wa afya wa Lebanon ametoa ripoti hii Leo asubuhi

Toka Jana kumekuwa na mwitikio mkubwa wa raia kuondoka kwenye maeneo Yao na kuelekea upande wa kaskazini..... Huu ni muda wa kuimaliza tofauti zao hawa watu maana kama vita hii itaendelea zaidi ya wiki 4 walebanon watakufa wengi Sana View attachment 3105329
Hezbollah hii vita alirequest muda mrefu sasa myahudi kamgeukia na yeye
 
Zaidi ya walebanon 580 wamekufa Toka Jana Hadi Leo kwenye mashambulizi ya anga ya Israel pia zaidi ya watu 1,835 wamejeruhiwa.
Waziri wa afya wa Lebanon ametoa ripoti hii Leo asubuhi

Toka Jana kumekuwa na mwitikio mkubwa wa raia kuondoka kwenye maeneo Yao na kuelekea upande wa kaskazini..... Huu ni muda wa kuimaliza tofauti zao hawa watu maana kama vita hii itaendelea zaidi ya wiki 4 walebanon watakufa wengi Sana View attachment 3105329
Escalation...
 
Hao waliouliwa asilimia tisini ni raia wa kawaida wa lebanoni sio hisbullah Mzee
Unataka kuniambia ukifika pale Lebanon unaweza kuwatambua Hezbollah Kwa uniform? Shida ya magaidi hawataki kujulikana hivyo yaweza kuwa miongoni mwao ndo hao watoto na wanawake. Acha Israel akanyage yeye ndo anajuwa kwa nini anapiga hao maeneo.
 
Yeah. Wanadhani Israeli anadanganyika kirahisi hivo. Hawajiongezi kujua kwamba Israeli sio mjinga kupiga hapo na kuacha maeneo mengine. Wanadhani ni siri sana.
 
Tayari magaidi wa Hezbollah wamesha kimbilia kwenye ngao zao kama magaidi wengine wafanyavyo.
 
Yeah. Wanadhani Israeli anadanganyika kirahisi hivo. Hawajiongezi kujua kwamba Israeli sio mjinga kupiga hapo na kuacha maeneo mengine. Wanadhani ni siri sana.
Usichokijua Hizbollah huwa wanavaa magwanda na ni sehemu ya jeshi la Lebanon.
Kuna kambi ambazo jeshi la Lebanon linachangia na Hizbollah.
Hizbollah hawavai nguo za kiraia hata mara moja.
Ukitaka hata picha tutakuonesha za Hizbollah wakiwa wamevaa gwanda waki operate launcher za makombora kwenda Galilee.
 
Jeshi la Ardhini la Israel linajipanga kwenda kwenye Mto Litani.kusini mwa Lebanon.
 
Zaidi ya walebanon 580 wamekufa Toka Jana Hadi Leo kwenye mashambulizi ya anga ya Israel pia zaidi ya watu 1,835 wamejeruhiwa.
Waziri wa afya wa Lebanon ametoa ripoti hii Leo asubuhi

Toka Jana kumekuwa na mwitikio mkubwa wa raia kuondoka kwenye maeneo Yao na kuelekea upande wa kaskazini..... Huu ni muda wa kuimaliza tofauti zao hawa watu maana kama vita hii itaendelea zaidi ya wiki 4 walebanon watakufa wengi Sana View attachment 3105329
Mbona wengi, sasa ikipigwa kwa muda sawa na ile ya gaza si watu wote wataisha 😀😀?
 
Oiyeyai! Tutasikia vilio vikitokea huko soon. Kuna mtu anafuatwa huko na ataumizwa sana.
Vimeshaanza nilikiwa huko kwenye Mtandao wa X kuna Maandamano mengi tu ya Free Hezbollah free Lebanon.
 
Back
Top Bottom