PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hezbollah hii vita alirequest muda mrefu sasa myahudi kamgeukia na yeyeZaidi ya walebanon 580 wamekufa Toka Jana Hadi Leo kwenye mashambulizi ya anga ya Israel pia zaidi ya watu 1,835 wamejeruhiwa.
Waziri wa afya wa Lebanon ametoa ripoti hii Leo asubuhi
Toka Jana kumekuwa na mwitikio mkubwa wa raia kuondoka kwenye maeneo Yao na kuelekea upande wa kaskazini..... Huu ni muda wa kuimaliza tofauti zao hawa watu maana kama vita hii itaendelea zaidi ya wiki 4 walebanon watakufa wengi Sana View attachment 3105329
Hao waliouliwa asilimia tisini ni raia wa kawaida wa lebanoni sio hisbullah MzeeHezbollah hii vita alirequest muda mrefu sasa myahudi kamgeukia na yeye
Escalation...Zaidi ya walebanon 580 wamekufa Toka Jana Hadi Leo kwenye mashambulizi ya anga ya Israel pia zaidi ya watu 1,835 wamejeruhiwa.
Waziri wa afya wa Lebanon ametoa ripoti hii Leo asubuhi
Toka Jana kumekuwa na mwitikio mkubwa wa raia kuondoka kwenye maeneo Yao na kuelekea upande wa kaskazini..... Huu ni muda wa kuimaliza tofauti zao hawa watu maana kama vita hii itaendelea zaidi ya wiki 4 walebanon watakufa wengi Sana View attachment 3105329
Haya majibu tumeshayasikia sana hadi tumeyakinai; hebu leteni na aina nyingine ya majawabu ili kuondoa monotony ya kurudia rudia kitu kile kile kila wakati.Hao waliouliwa asilimia tisini ni raia wa kawaida wa lebanoni sio hisbullah Mzee
Unataka kuniambia ukifika pale Lebanon unaweza kuwatambua Hezbollah Kwa uniform? Shida ya magaidi hawataki kujulikana hivyo yaweza kuwa miongoni mwao ndo hao watoto na wanawake. Acha Israel akanyage yeye ndo anajuwa kwa nini anapiga hao maeneo.Hao waliouliwa asilimia tisini ni raia wa kawaida wa lebanoni sio hisbullah Mzee
Yeah. Wanadhani Israeli anadanganyika kirahisi hivo. Hawajiongezi kujua kwamba Israeli sio mjinga kupiga hapo na kuacha maeneo mengine. Wanadhani ni siri sana.Unataka kuniambia ukifika pale Lebanon unaweza kuwatambua Hezbollah Kwa uniform? Shida ya magaidi hawataki kujulikana hivyo yaweza kuwa miongoni mwao ndo hao watoto na wanawake. Acha Israel akanyage yeye ndo anajuwa kwa nini anapiga hao maeneo.
Usichokijua Hizbollah huwa wanavaa magwanda na ni sehemu ya jeshi la Lebanon.Yeah. Wanadhani Israeli anadanganyika kirahisi hivo. Hawajiongezi kujua kwamba Israeli sio mjinga kupiga hapo na kuacha maeneo mengine. Wanadhani ni siri sana.
Mbona wengi, sasa ikipigwa kwa muda sawa na ile ya gaza si watu wote wataisha ππ?Zaidi ya walebanon 580 wamekufa Toka Jana Hadi Leo kwenye mashambulizi ya anga ya Israel pia zaidi ya watu 1,835 wamejeruhiwa.
Waziri wa afya wa Lebanon ametoa ripoti hii Leo asubuhi
Toka Jana kumekuwa na mwitikio mkubwa wa raia kuondoka kwenye maeneo Yao na kuelekea upande wa kaskazini..... Huu ni muda wa kuimaliza tofauti zao hawa watu maana kama vita hii itaendelea zaidi ya wiki 4 walebanon watakufa wengi Sana View attachment 3105329
Kumbe ni mjinga na ww..Hao waliouliwa asilimia tisini ni raia wa kawaida wa lebanoni sio hisbullah Mzee
Kwani Human population ya Lebanon ni ngapi?Mbona wengi, sasa ikipigwa kwa muda sawa na ile ya gaza si watu wote wataisha ππ?
Oiyeyai! Tutasikia vilio vikitokea huko soon. Kuna mtu anafuatwa huko na ataumizwa sana.Jeshi la Ardhini la Israel linajipanga kwenda kwenye Mto Litani.kusini mwa Lebanon.
Vimeshaanza nilikiwa huko kwenye Mtandao wa X kuna Maandamano mengi tu ya Free Hezbollah free Lebanon.Oiyeyai! Tutasikia vilio vikitokea huko soon. Kuna mtu anafuatwa huko na ataumizwa sana.