Hivi majina ya wizara ya afya ndio imetosha maan yametoka majina 1255 tu hii imekaaje waungwana wenye taarifa zozote kuhusu hili atusaidie kama ndio 50% tujue
nikusahihishwe wametoa majina 1166 tu na hapo ndio mwisho kuna barua ya sili ilitoka kila wilaya kutakiwa kupunguza idadi ya watumishin wanaowahitaji.this is Tanzania