D DAVIES JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 516 Reaction score 90 Jan 27, 2012 #1 Hivi wizara ya afya inampango wa kuajiri wahitimu wake au ndio changa la macho mwenye taarifa maana hadi sasa yametoka majina 1166 au ndio wanatosha hao
Hivi wizara ya afya inampango wa kuajiri wahitimu wake au ndio changa la macho mwenye taarifa maana hadi sasa yametoka majina 1166 au ndio wanatosha hao
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Jan 28, 2012 #2 Msote sote kwanza street mbona walim walivumilia 2! so vumilieni 2 bana au sio.
Dr.Chichi JF-Expert Member Joined Apr 30, 2008 Posts 2,393 Reaction score 632 Jan 28, 2012 #3 he he he jana waziri kasema wameajiri wale wote walioomba kazi....anyway kuna news zinasema majina mengine yatatoka.vuta subira mkuu
he he he jana waziri kasema wameajiri wale wote walioomba kazi....anyway kuna news zinasema majina mengine yatatoka.vuta subira mkuu