wizara ya afya!

da! Kaz kwel kwel inapasa kuwa na subira najua kuna tatzo lpo ndo maana wk kmya lakn naiman wk hii lazma watayatoa matokeo.
 
hapo bc tena inawezekana hela ya ruzuku ya vyuo wametumia kwenye kampeni zao na imekuwa ngumu kuzirudisha hii nchi bwana ipo kama taarabu vile tumechoka wajameni
 
Kuna jamaa angu yupo Dar kaniambia matokeo ni J3 ijayo.
Mlioko Dar hebu fuatilieni hli swala kama ni kweli.
 
Kuna jamaa angu yupo Dar kani'tell kwamba matokeo ya wizara ya afya yatatoka rasmi J3 ijayo.
Kwa mlioko Dar hebu fuatilieni hizi taarifa kama ni za kweli!

#Over!
 
jaman mlioko Dar mkutane wizaran kwan c mnajua viongoz wt walikwsha zoea kusukumwa.
 
Please my young brother, feed your 'vision' and not your 'hungry'

inafika kpnd inabd u'feed hungry jamaa yngu!
Ok! Let say me na interest ya udaktar,na uwezo wa kusomea udaktari umekataa,at the same tym unapewa issue ya kusomea IT na gharama ya kusomea unakuwa nayo,lazma niende kwenye IT.
DO AS YOH TIME NEED!
 

email angu ni
edwindaudi@hotmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…