A Arteta_21 Member Joined Feb 25, 2013 Posts 12 Reaction score 2 Jun 7, 2013 #1 Habari zenu wana jf napenda kuuliza kuhusu form four walioomba vyuo vya afya kutumia matokeo ya mwanzo kabla ya uchakachuajia wanawezekana wakachaguliwa au ndo tusahau tu? Ushauri plz
Habari zenu wana jf napenda kuuliza kuhusu form four walioomba vyuo vya afya kutumia matokeo ya mwanzo kabla ya uchakachuajia wanawezekana wakachaguliwa au ndo tusahau tu? Ushauri plz
Duniaze Senior Member Joined Feb 27, 2013 Posts 148 Reaction score 23 Jun 7, 2013 #2 Hii tanzania kaka,unafikili MOH wanajali we subiri tu utasikia mwenyewe watakavyoropoka ovyo.
B big IQ JF-Expert Member Joined Dec 16, 2012 Posts 491 Reaction score 892 Jun 8, 2013 #3 Ndo imepita hiyo muheshimiwa subiri mwakani