wizara ya afya

khajat

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
16
Reaction score
4
jaman matokeo vp?
Inasikitisha yanavocheleweshwa kwa kwel!
inakatsha tamaa
 
Nasikia jana yametoka ya wale wanaojiendeleza xo nahc bado kidogo! 2vute subira!
 
Nilikua na bios c chem c phys b mats b engl b ila nimemaliza 2010

tangu 2010..? Ulienda a'level nn ukadundaaa..! By the way keep praying utapataa! Wenzio tuliomaliza wote 2010 hiyo form 4 tunasubiri HESLB wafanye yao baada ya TCU kufanya yao.! So nimependa tokeo lako bt na mashakaa kidogo na huo muda uliopeteza hapo kati...!
 
Kweli kulikuwa na ushindani nimeamini wameomba 4829 na walokuwa wanahitajika ni 270 tu! Hiyo si hatari??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…