wizara ya afya

wizara ya afya

nguzo87

Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
29
Reaction score
0
jamani kama matokeo tayari niambieni....alafu nilisikia tarehe 10 yametoka kama tayar tuambiane :help:
 
yawezekana afya imeingiliwa na siasa kiutendaji cos mpaka sasa hakuna taarifa yeyote wanayoitoa kama vile hakuna mchakato wowote
 
Kwel obed hawa hawana mchakato wowote,kwan wengine hapa hatujui kinachoendelea kwel hii ndo moh...
 
Wadau kuna matokeo baadhi wamebandika angalieni
 
"list of candidates selected to be sponsored by moh"ukifungua hapo unakuta majina xaxa inakuwaje uxeme kuwa ni reviewed list?@sosp
 
Ucbishe nenda kadownload hcho kpengele halaf 2pe feedback@sos
 
Back
Top Bottom