Wizara ya Ardhi Dar es Salaam, kitengo cha hati za kawaida

Wizara ya Ardhi Dar es Salaam, kitengo cha hati za kawaida

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Salaam wadau wa maendeleo! Najua wizara ya ardhi mnafanya kazi kubwa sana tena sana, Hongereni sana;

Licha ya changamoto mbali mbali mnazopitia ila naomba wakuu wa idara basi angalieni utendaji wa kitengo cha kuchukua hati za kawaida.

Haiwezekani kwenye system hati inaonekana imetoka alafu haionekani ? Na hii kero zipo nyingi sana ila mimi nimesemea kwangu mimi tokea jumatatu wanasema haionekani, wakaniambia nije jumatano haionekani, leo ni ijumaa saa 13;35 na nimekuja tokea asubuhi bado haionekani. Jamani shida ni nini jamani wengine ni wanyonge na hatujui wapi kwa kupeleka malalamiko. Please kama kuna maboss na wakuu wa idara mnapitia uzi huu basi fatilieni jamani. Ahsante sana.
 
Salaam wadau wa maendeleo! Najua wizara ya ardhi mnafanya kazi kubwa sana tena sana, Hongereni sana;

Licha ya changamoto mbali mbali mnazopitia ila naomba wakuu wa idara basi angalieni utendaji wa kitengo cha kuchukua hati za kawaida...
Hadi leo hawajakupatia mkuu?
 
Back
Top Bottom