Hii ni wizara nyeti na yenye matatizo makubwa ya utendaji wa maafisa wa ardhi wa wilaya na mikoa. Kidogo Lukuvi aliwafuatilia kwa karibu na kuchukua hatua ilipobidi.
Leo Waziri Mabula naona ni kama vile wizara haina Waziri.
Wanatamba kuwa tulisema ataondoka Lukuvi atatuacha, na huyu tena mama atatuacha.
Waziri Mabula jitokeze, kwako kuna matatizo ya hao maafisa ardhi wateule na matatizo lukuki.
Njoo Muheza, kutana na wananchi wa kata ya Mlingano, kuna maajabu yanafanyika hapo na ardhi ya mashamba waliyopewa na Magufuli