Ukitaja Magufuli umeharibu huo mnazi hautanyweka, yupo dogo amewekwa strategically kum suppress Mabula na yeye anajua kinachoendeleaKuna maajabu yanafanyika hapo na ardhi ya mashamba wwliyopewa na Magufuli
Ongezea Na Boha,Mnazi HavitanywekaUkitaja Magufuli umeharibu huo mnazi hautanyweka, yupo dogo amewekwa strategically kum suppress Mabula na yeye anajua kinachoendelea
😄😃😀Mabula mzima kwani? Usikute yuko kitandani
For sure he wasLukuvi kwangu mimi alikuwa ni waziri wa ardhi bora toka uhuru.
Sasa hii ni habari mpya. Naibu atam suppress bosi kweli? Hata kama ni nguvu ya baba yake, lkn vingine ni vigumu, làbda kwa vile hapa ni kwa manyani!Ukitaja Magufuli umeharibu huo mnazi hautanyweka, yupo dogo amewekwa strategically kum suppress Mabula na yeye anajua kinachoendelea
New news and hot!Mabula mzima kwani? Usikute yuko kitandani
Wewe unatoka Shebomeza Muheza ndiko kwenye Boha la nguvu katika Tao la Milima ya Mashariki[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ongezea Na Boha,Mnazi Havitanyweka
Magufuli alisema waliokuwa kwenye mashamba tangu enzi hizo wapewe bure maeneo Yao na hati wapatiwe .Mkuu, muheza wanafanywa nini?
Hata Mimi, he was the best. Huyu mama alikosea kumtoa kwa mambo ya kijinga!Lukuvi kwangu mimi alikuwa ni waziri wa ardhi bora toka uhuru.
Itabidi tuombe washauri wamshauri vema kwa hili la Mh Lukuvi!Hata Mimi, he was the best. Huyu mama alikosea kumtoa kwa mambo ya kijinga!
Hii ni wizara nyeti na yenye matatizo makubwa ya utendaji wa maafisa wa ardhi wa wilaya na mikoa. Kidogo Lukuvi aliwafuatilia kwa karibu na kuchukua hatua ilipobidi.
Leo Waziri Mabula naona ni kama vile wizara haina Waziri.
Wanatamba kuwa tulisema ataondoka Lukuvi atatuacha, na huyu tena mama atatuacha.
Waziri Mabula jitokeze, kwako kuna matatizo ya hao maafisa ardhi wateule na matatizo lukuki.
Njoo Muheza, kutana na wananchi wa kata ya Mlingano, kuna maajabu yanafanyika hapo na ardhi ya mashamba waliyopewa na Magufuli
hahahahaNew news and hot!
Hii Wizara nadhani inahitaji Waziri mkali na mfuatiliaji. Lukuvi alikuwa vizuri ila double dealings zake zilikwamisha baadhi ya mambo.Hii ni wizara nyeti na yenye matatizo makubwa ya utendaji wa maafisa wa ardhi wa wilaya na mikoa. Kidogo Lukuvi aliwafuatilia kwa karibu na kuchukua hatua ilipobidi.
Leo Waziri Mabula naona ni kama vile wizara haina Waziri.
Wanatamba kuwa tulisema ataondoka Lukuvi atatuacha, na huyu tena mama atatuacha.
Waziri Mabula jitokeze, kwako kuna matatizo ya hao maafisa ardhi wateule na matatizo lukuki.
Njoo Muheza, kutana na wananchi wa kata ya Mlingano, kuna maajabu yanafanyika hapo na ardhi ya mashamba waliyopewa na Magufuli
Na hiyo ndiyo kauli ya watu wa idara ya ardhi kuwa hata Rais hawaambii kitu. Na kweli kauli hiyo inafanya kazi maana uporaji unapamba Moto day after day...Hii Wizara nadhani inahitaji Waziri mkali na mfuatiliaji. Lukuvi alikuwa vizuri ila double dealings zake zilikwamisha baadhi ya mambo. Kwa mfano, ukiangalia upimaji wa viwanja Dodoma ni wizi mtupu. Kuna mtandao uliopo ardhi Dodoma ambao kazi yake ni kupora maeneo ya watu katika upimaji. Wanasema Mkurugenzi hawaambii chochote na wala Waziri hana cha kuwafanya. Wengine wanasema waziwazi ni muda wao wa kuwa matajiri kupitia upimaji wa viwanja.