Usihadaike na Kangaroo courtsWenyeviti wa vijiji husika kama wapo, wapewe fursa ya kusema, au wabunge, kuna sehemu nyaya zitagusana tu
Rais ni taasisi, huwa haendi hivihivi, akienda kukagua mradi wa barabara, jua kwamba maofisa waandamizi ikulu wenye utaalamu wa mabarabara, wameshaenda kulikagua na kuangalia ubora wake, na kutoa mrejesho.Hapo kuna msafara wa magari zaidi ya 200 na kuna watu wametangulia kama wiki 2 na anachoenda kukifanya ni hakipo.
We ni mjinga sn, Rais na watu wake wa Ikulu wakitumia magari yasiyozidi 5, na wengine wakapanda kwenye mabasi hawatafika?Rais ni taasisi, huwa haendi hivihivi, akienda kukagua mradi wa barabara, jua kwamba maofisa waandamizi ikulu wenye utaalamu wa mabarabara, wameshaenda kulikagua na kuangalia ubora wake, na kutoa mrejesho.
Kuna watu wa media, kuna watu wa "kuuchekecha" na kuu-scan mji, ili mambo yaliyompata Trump juzi yasitokee, security set up ya maeneo Rais atasimama, wanaongalia ratiba ngazi za mikoa na wilaya. Its a convoy, haiwezi kulingana na kakikundi kako kalikoenda kukutolea kishika uchumba au mahari