Wizara ya Ardhi, undeni timu ndogo watalaamu iwape mapendekezo kuondoa dhuluma na kadhia hii

Wizara ya Ardhi, undeni timu ndogo watalaamu iwape mapendekezo kuondoa dhuluma na kadhia hii

VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
5,610
Reaction score
13,168
Hongera Mh. Mabula, na Mh. Ridhiwani

Lipo tatizo la sheria mortgage dhamana kuuzwa na wadau wakopeshaji kwa Bei za hasara na kutokujali kutambuliwa juhudi za awali mdaiwa alivyopambana.

Hii inapelekea kuongeza umaskini na kudumaza sector ya biashara.

Nashauri undeni team ndogo watalaamu iwape mapendekezo kuondoa dhuluma na kadhia hii.
 
Nia ya benki sio kuuza rehani za wateja.

Defaulting sio jambo la mwezi mmoja, mtu anakuwa hajarejesha kwa muda mrefu na ameonywa na kubembelezwa sana alipe
 
Waziri kunahili jambo eneo lilishapimwa na hati kutolewa leo inakuwaje kuwe na upimaji mpya namwenye umiliki kulazimishwa kutoa % 30 za upimaji.

Na sehemu zingine unahamishwa bila kulipwa fidia ya pale unapo paacha!

Huu ujanja ujanja upo Dodoma.

Ushauri nunueni eneo lote kuondo dhuluma.

Hicho mnachokifanya wananchi wakifumbuka hamtapona akitokea muelimishaji mzuri mtakuja kudaiwa mpaka mfilisiwe
 
Waziri fuatilia kinacho fanyika Matuli na Nkuhungu broad acre.

Hizo 50b zilizotolewa na Mama zina fanya nini huku wskichukua 30%.

Mbona Rip mpendwa dr Magufuli alipo panua uwanja wa ndege mjini watu walilipwa bila kukatwa 30%.

Mbona ilipopita SGR haikujaliwa korongo mbuyu watu walilipwa bila kukatwa hiyo 30%

Ukweli kinachofanyika nivurugu za kutaka pesa kwa hao maafisa ARIDHi

Mpendwa Magufuli aliwahi tamka wazi
Hapa hakuna Mbuge
Mkuu wa Wilaya
Mkuu wa Mkoa
Iweje mtu afukuzwe eneo lake kwa mapanga baadaye sasa unalipima upya eneo na kulazimisha 30% wakati ramani ya mwanzo ilikuwa na huduma zote!!!
 
Back
Top Bottom