Hongera Mh. Mabula, na Mh. Ridhiwani
Lipo tatizo la sheria mortgage dhamana kuuzwa na wadau wakopeshaji kwa Bei za hasara na kutokujali kutambuliwa juhudi za awali mdaiwa alivyopambana.
Hii inapelekea kuongeza umaskini na kudumaza sector ya biashara.
Nashauri undeni team ndogo watalaamu iwape mapendekezo kuondoa dhuluma na kadhia hii.