Wizara ya Ardhi-Web page yenu ya kukadiria kodi ya viwanja haifanyi kazi

Wizara ya Ardhi-Web page yenu ya kukadiria kodi ya viwanja haifanyi kazi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Screenshot_20240919-051200_Samsung Internet.jpg
Serikali siku zote inasisitiza mapato, na imeunda systems za kurahisisha ukusanyaji wa mapato hayo.

Sasa inapoelekea systems hizo hazifanyi kazi basi ujue kuna hujuma ili hela zilipwe kwenye mifuko ya watu.

Wizara ya Ardhi, nimejaribu kutumia web page hii ili kukadiria na kulipa kodi bila mafanikio. Pole mama yangu Tanzania.

Soma Pia: Application ya GePG Tanzania haifanyi kazi upande wa kulipia kodi ya Ardhi?
 
Ardhi wajitafakari, wafanyakazi hapo wizarani wanapenda zile foleni ili wawatoe upepo wananchi.
 
Ukibofya sehemu ya kuchagua mkoa au hata wilaya hakuna orodha inayotokea.
 
Sijui sasa, ila mpaka mwezi wa sita 2024 ilikuwa inafanya kazi vizuri tu
 
Back
Top Bottom