Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Sep 19, 2024 #1 Serikali siku zote inasisitiza mapato, na imeunda systems za kurahisisha ukusanyaji wa mapato hayo. Sasa inapoelekea systems hizo hazifanyi kazi basi ujue kuna hujuma ili hela zilipwe kwenye mifuko ya watu. Wizara ya Ardhi, nimejaribu kutumia web page hii ili kukadiria na kulipa kodi bila mafanikio. Pole mama yangu Tanzania. Soma Pia: Application ya GePG Tanzania haifanyi kazi upande wa kulipia kodi ya Ardhi?
Serikali siku zote inasisitiza mapato, na imeunda systems za kurahisisha ukusanyaji wa mapato hayo. Sasa inapoelekea systems hizo hazifanyi kazi basi ujue kuna hujuma ili hela zilipwe kwenye mifuko ya watu. Wizara ya Ardhi, nimejaribu kutumia web page hii ili kukadiria na kulipa kodi bila mafanikio. Pole mama yangu Tanzania. Soma Pia: Application ya GePG Tanzania haifanyi kazi upande wa kulipia kodi ya Ardhi?
Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Sep 19, 2024 Thread starter #2 Ardhi wajitafakari, wafanyakazi hapo wizarani wanapenda zile foleni ili wawatoe upepo wananchi.
salisalum JF-Expert Member Joined Oct 27, 2010 Posts 423 Reaction score 140 Jan 2, 2025 #4 Ukibofya sehemu ya kuchagua mkoa au hata wilaya hakuna orodha inayotokea.
Vashita JF-Expert Member Joined Dec 28, 2019 Posts 432 Reaction score 590 Jan 2, 2025 #5 Sijui sasa, ila mpaka mwezi wa sita 2024 ilikuwa inafanya kazi vizuri tu