Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Kuongeza uwajibikaji na juhudi, kuongeza thamani ya Elimu, kuondoa uzembe na udanganyifu maana supplement hufanyika ikiwa mwanafunzi yupo nje ya program ya mafunzo, kuondoa Rushwa ya Hela na ngono.
Kwa Hili serikali haina budi kulitilia mkazo.
Kwa Hili serikali haina budi kulitilia mkazo.