Wizara ya Elimu iondoe mfumo wa kufanya supplementary Exams

Mr Pixel3a

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
5,710
Reaction score
8,579
Kuongeza uwajibikaji na juhudi, kuongeza thamani ya Elimu, kuondoa uzembe na udanganyifu maana supplement hufanyika ikiwa mwanafunzi yupo nje ya program ya mafunzo, kuondoa Rushwa ya Hela na ngono.

Kwa Hili serikali haina budi kulitilia mkazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…