HATA WAZIRI MALAIKA ATAZOMEWA
Kati ya wizara vichaa ni hii,hata kama ulikua na jina kubwa, weledi wa hali ya juu, mwanadiplomasia au uwe na busara iliyopindukia ukipewa hii Wizara tegemea kashfa, kuzomewa,matusi,malalamiko.....kwa kifupi hili wizara linachafua watendaji wake hasa mawaziri.
hebu tujiulize sisi tunaowanyooshea Mawaziri wa Elimu vidole ni Waziri gani leo wewe unafikiri anaweza akaongoza ile wizara ukamfurahia.....???? hata huyo magufuri akipelekwa huko umaarufu utaisha ndani ya siku saba tuu.
ukweli ni ni kwamba wizara ni kama KOKORO...... yaani ni zoazoa tu. kwa hiyo wengi wao wamekalia kulalamika tuuuu.
kiukweli hii wizara utoto ni mwingi....
mwingine oooh mara matokeo sio yenyewe????Toa matokeo yako sasa
JK AMPE UWAZIRI ALBERT MNALI NDIYE ATAWAWEZA