kabwekasoma
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 260
- 153
Za chato labudaWewe sema unataka ajira,maana shule zetu zina vifaa na walimu wa kutosha. Tafuta kazi nyingine ujiajiri aisee
niko inservice muda mrefu nahisi hata kabla ujazaliwa mimi nimeongea jwa uchungu kwani tunapoelekea msitakabari wa elimu yetu itabaki storiWewe sema unataka ajira,maana shule zetu zina vifaa na walimu wa kutosha. Tafuta kazi nyingine ujiajiri aisee