WIZARA YA ELIMU...TAMISEMI MTOENI HUYU NI KIKWAZO BAGAMOYO SEkONDARI

WIZARA YA ELIMU...TAMISEMI MTOENI HUYU NI KIKWAZO BAGAMOYO SEkONDARI

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,162
Reaction score
796
TUME ikatumwa haikfanya ilichofuata, wanafunzi wakaonyesha kile walichomaanisha, wizara ikakwepa,

leo imebainika tatizo ni BONAS NDIMBO, mtumishi mmoja alidai bwana ndimbo amekubali kushindwa na

amebainisha hawezi kuendesha shle hiyo kubwa nchini.

kinachoonekanamwl huyo analindwa upande mmoja ama tamisemi au wizara ya elimu.

ikumbukwe wizara hizi hazikai meza moja, kwa kile kinachosemwa kuwa tamisemi imekwapua ulaji na madurufu ya

elimu, Na sasa elimu hakuna hata senti moja. Hii ni vita ya wakubwa, wanapambana kimya kimya, Elimu WAKITAKA

WIZARA YAO IREJESHWE kama ilivyokuwa. Nani mbaya, walimu? wanafunzi waislam? waliogoma kutoka kwenye

nyumba za walimu? walimu wa muda mrefu kituoni hapo? mchawi hatajulikana labda siku ya mwisho.

"Nimegundua kitu kikubwa sana

walimu wanahekima kubwa sana, na daima, walimu ni watu muhim, niligundua hawafundishi kwa moyo tena ule waliokuwa nao".

aliongeza mtumishi huyo wa shule ya bagamoyo
.

My take...
 
Back
Top Bottom