Wizara ya elimu, tovuti yenu mmepeleka wapi?

bushman

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,412
Reaction score
747
WANA JAMVI,

JAMBO LA KUSHANGAZA KWA TOVUTI YA WIZARA ZAIDI YA WIKI MBILI SASA NIMEKUWA NIKITAFUTA BAADHI YA TAARIFA ZA MAFUNZO KWA MWAKA HUU.HAIPO HEWANI UKIFUNGUA UNAKUTANA NA UJUMBE KUWA IKO KWENYE MATENGEZO ITARUDI BAADA YA MUDA MFUPI,LABDA WIZARA INGETOA UFAFANUZI MUDA MFUPI UTAISHA LINI.

AU WIZARA IMESHINDWA KUENDESHA TOVUTI?INASHANGAZA KATIKA KARNE HII BADO WIZARA NYETI KAMA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI INAENDESHWA KIENYEJI,TATIZO NI NINI?NA HAKUNA TAARIFA KWA WADAU HUSIKA HUSUSANI WATANZANIA KWA UJUMLA.

HEBU INGIENI MUONE HAPA- www.moe.go.tz.

HAKUNA KITU.NAOMBA WAHUSIKA WALISHUGHULIKIE HILI.
 
Huu utaratibu wa kutumia tovuti kwa taasisi nyingi hasa za serikali hapa nyumbani ni tatizo. Mara nyingi hata updates zinachelewa
 
Tunasubiri mafundi toka thailand.. juz tulikua kwenye kikao cha kuithinisha bajeti ya kuwatumia ticket na posho kiujulma..
tumepelewa wizara ya fedha tunasubir majibu.

Wakitoa tutawatumia mafundi wetu.
 
Tunasubiri mafundi toka thailand.. juz tulikua kwenye kikao cha kuithinisha bajeti ya kuwatumia ticket na posho kiujulma..
tumepelewa wizara ya fedha tunasubir majibu.

Wakitoa tutawatumia mafundi wetu.

mungu tusaidie hadi kinyaaa thailand tena kurudisha tovuti au upigaji unatengenezwa.....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…