Wizara ya Elimu, Tume ya Vyuo Vikuu na Bodi ya Mikopo mnayajua haya?

Tee Cup

Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
15
Reaction score
2
JE WIZARA YA ELIMU, TUME YA VYUO VIKUU NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU JE MUNAJUA KWAMBA UNIVERSITY OF BAGAMOYO NI CHUO KIKUU CHA HOVYO KABISA?
Chuo hiki hakina hadhi na sifa ya kuwa na wala kuitwa chuo kikuu.
Huu ni uuaji na ushushaji wa elimu ya Tanzania.
»Chuo kikuu gani hakina majengo na madarasa ya kutosha kwa wanafunzi wake?
»Chuo hakina walimu wa kutosheleza kufundisha compulsory courses kwa wanafunzi wake? Wakati ni mwezi umepita tangu semester ya pili ianze?? Toka tarehe 27 machi chuo kilipofunguliwa kwa ajili ya semester ya pili?
»Ofisi kuu za chuo zipo mikocheni ambayo ni nyumba ya mtu iliyokodishwa!
»Wanafunzi wa mwaka wa pili na watatu wanasoma kwenye campus yao ipo Kawe ambako ni nyumba ya mtu iliyokodishwa na kupelekea kukosekana kwa madarasa ya kutosha ya kusoma kwa wanafunzi hao,
»Wanafunzi wa mwaka wa kwanza nao wana campus yao iliyo Kinondoni
»Chuo hiki Hakina maktaba kwa campus ya Kinondoni wanayosoma wanafunzi wa mwaka wa kwanza
»Campus ya kinondoni hata viti na meza za kukaa wanafunzi havitoshi
»Hata maktaba iliyopo Kawe haiwezi hata kuchukua wanafunzi 100 kwa wakati mmoja
»Chuo kina Kozi za sayansi lakini hakina maabara za kueleweka
»Chuo kikuu gani wanafunzi walifanya mitihani ya semester ya kwanza kuanzia tarehe 05 machi hadi tarehe 13 machi lakini mpaka leo matokeo ya mitihani hiyo hayajatoka wala hayajulikani yatatoka lini?
»Uchaguzi wa viongozi wa serikali ya wanafunzi umeahirishwa mara tatu na uongozi wa chuo bila ya kutolewa ufafanuzi wala sababu za msingi?
»Bodi ya mikopo ya elimu ya juu munafahamu kuwa toka chuo kifunguliwe kuanza semester ya pili tarehe 27 machi kuwa hela ya mkopo mliyotoa kwa wanafunzi wa chuo hiki kwa ajili ya quarter ya tatu ya hela za meals and accomodation iliyoanza semester ya pili kwamba hadi hivi leo wanafunzi hao bado hawajapewa vocha ya kusaini ili wapate pesa zao za chakula na accomodation na haijulikani watapewa lini kusaini wala haijulikani wataingiziwa lini pesa hizo ambazo ilipaswa watumie kwa mwezi wa Aprili na Mei?
»Je Wizara ya ELimu na Tume ya vyuo vikuu Tanzania Hivi ni kwa vigezo gani, sifa gani na sababu gani chuo hiki kikapewa nafasi ya kuwa chuo kikuu? Ilihali hakina uwezo vigezo wala mazingira ya kuwa au hata kuitwa chuo kikuu?
»Huu ni ushushaji uvurugaji na ubadhirifu wa sekta ya elimu Tanzania?
»Ni wasomi gani watazalishwa na chuo kikuu cha hovyo namna hii!
»Hiki chuo ni Hovyo kabisa na hakina hadhi ya kuwa wala kuitwa chuo kikuu!
»Ombi langu ni kwamba Wizara ya Elimu na Tume ya Vyuo Vikuu na bodi ya mikopo ya elimu ya juu ichunguze upya Je hiki chuo cha University of Bagamoyo kina hadhi sifa na vigezo vya kukifanya kiendelee kuwa chuo kikuu?
»Pia watujuze sifa na vigeo vya taasisi inayotoa elimu kufikia kuitwa na kupewa hadhi ya chuo kikuu?
 
Wahusika taarifa zitakuwa zimewafikia
Na hili lishughuliwe ipasavyo ili kuweza kuboresha na kuinua elimu
 
Poleni sana ndugu zanguni.............
 
Kuna dogo kaamua kuacha chuo hicho na this year ana apply kwingine
 
Back
Top Bottom