Wizara ya Elimu yaanza kukunjua makucha yake kuondokana na aibu

Wizara ya Elimu yaanza kukunjua makucha yake kuondokana na aibu

mapambanodaima

Senior Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
108
Reaction score
15
Nimefurahishwa sana na taarifa ya kuvuliwa madaraka kwa mkuu wa chuo cha ualimu korogwe na makamu wake.

Niwapongeze kwa maamuzi mazuri ila bado wanahitajika kuongeza kasi kwa vyuo vingine. Hakika vyuo vya ualimu vimekuwa maficho ya ufisadi kwakuwa wanashirikiana na wakuu wa idara hiyo kuzifaidi hizo pesa.

Pia kuna ubabaishaji mkubwa sana wa wakuu wa vyuo ambao unasababisha migogoro kwa watendaji wa chini yao kuanzia wakufunzi na hata walimu wa mazoezi.

Niamini kuwa wameanza kujinasua na aibu. Mkitekeleza majukumu yenu na kuacha ujamaa kazin mtainusuru wizara na kuepuka aibu zisizokuwa za lazima
 
Sheria ni msumeno, ila wanajamii mbona nimesikia hawa mabwana walikuwa kwenye likizo ya kustaafu?
 
Njo kwa wakuu wa shulwe ndio wanajidfanya miungu nsa wafisadi wakubwa sana.Shule za sekondari Za kata nyingi zinoongozwa na walimu wasio na sifa.Hawna digree wengi ni diploma tena za zamani wanaongoza shule kwa uzoefu na mazoea,serikali fuatilia.
 
Biti la siku 14 za chadema kumng'oa Kawambwakwa maandamano hazijafika?
 
Nimefurahishwa sana na taarifa ya kuvuliwa madaraka kwa mkuu wa chuo cha ualimu korogwe na makamu wake.

Niwapongeze kwa maamuzi mazuri ila bado wanahitajika kuongeza kasi kwa vyuo vingine. Hakika vyuo vya ualimu vimekuwa maficho ya ufisadi kwakuwa wanashirikiana na wakuu wa idara hiyo kuzifaidi hizo pesa.

Pia kuna ubabaishaji mkubwa sana wa wakuu wa vyuo ambao unasababisha migogoro kwa watendaji wa chini yao kuanzia wakufunzi na hata walimu wa mazoezi.

Niamini kuwa wameanza kujinasua na aibu. Mkitekeleza majukumu yenu na kuacha ujamaa kazin mtainusuru wizara na kuepuka aibu zisizokuwa za lazima

Angengo'oka Kawambwa ningeamini kweli wako serious!
 
Kwanza wanilipe stahili yangu ndo ntafurahia wizara hii. Hiyo yawezekana hakurudisha fungu. Miaka 7 nalipwa mshahara ule ule nilioajiliwa nao. Vyuoni huku tuliko ni kichaka cha ufisadi wakishirikiana na wakurugenzi wa wizara. Kukomoana ndo kumejaa na kupeana vyeo bila kuangalia uwezo.

Hapo wizarani kuna jamaaa anaitwa Minja ni mbabaishaji kufa, sijuhi kama hata kufundish a anaweza ila ni kiongozi katika idara ya utumishi wa wakufunzi hapo wizarani.i
 
Matumizi mabaya ya fedha za umma

Nendeni chuo cha ualimu Nachingwea mkaone madudu ya wiziiiii..... Eti muhasibu form 4 na salary laki na ishirini but wanamililiki magari waliyloiba pesa za umma

BtP ndo wakufunzi wanang'aaa macho
 
nimeambiwa T.I.S.S wakimaliza waandishi wa mtaani wanahamia wa mtandaoni kwahiyo mjiandae wakuu,lengo ni mpaka tuishe.
 
Hata wakifungua makucha si kuna wanafunzi washaumia tayar au ni punda afe mzigo ufike
 
Back
Top Bottom