Wizara ya elimu kwa sasa inao mpango wa kushusha alama za kufaulu kwa wananafunzi wanaomaliza kidato cha nne.
Naibu waziri wa elimu Philipo Mulugo alisema kuwa wizara inaangalia utaratibu mpya wa kushusha alama, credit za kufaulu kutoka C tatu hadi D.
Mulugo alidai kuwa ni vema mwanafunzi atakayemalza form iv akapata C mbili na D moja au D tatu waruhusiwe kujiunga kidato cha tano.
Mimi binafsi hili jambo limenishangaza sana! hivi kweli elimu yeti watanzania tunataka kuipeleka wapi?
Tukiruhusu haya baadae taifa letu litakuwa na wasomi wa aina gani? nimeamin kweli siasa ni mchezo mbaya..mmh yangu macho hii ndio Tziii bwana.