Wizara ya Elimu yaja na mpango wa kushusha alama za ufaulu kuingia Form Five!

naka

Senior Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
110
Reaction score
31
Wizara ya elimu kwa sasa inao mpango wa kushusha alama za kufaulu kwa wananafunzi wanaomaliza kidato cha nne.

Naibu waziri wa elimu Philipo Mulugo alisema kuwa wizara inaangalia utaratibu mpya wa kushusha alama, credit za kufaulu kutoka C tatu hadi D.

Mulugo alidai kuwa ni vema mwanafunzi atakayemalza form iv akapata C mbili na D moja au D tatu waruhusiwe kujiunga kidato cha tano.

Mimi binafsi hili jambo limenishangaza sana! hivi kweli elimu yeti watanzania tunataka kuipeleka wapi?

Tukiruhusu haya baadae taifa letu litakuwa na wasomi wa aina gani? nimeamin kweli siasa ni mchezo mbaya..mmh yangu macho hii ndio Tziii bwana.
 
Aanze lini wakati tayari kuna fununu , hasa baada ya matokeo mabovu yaliyopita kuwa tayari wanafunzi wenye D CC, watajiunga form 5
 
Aanze lini wakati tayari kuna fununu , hasa baada ya matokeo mabovu yaliyopita kuwa tayari wanafunzi wenye D CC, watajiunga form 5
Mkuu hii mbona ipo tangu zaman, hata mie miaka ya nyuma (2004) nlikuwa na DCC, physcs D chem C na Bios C Lakin nkachaguliwa PCB shule ya serikal, na sasa nina kajiwe kangu na ni ni mtu very potential ninapofanya kaz?
 
Mh jaman xa tuliomaliza mwaka 2009 na una crdty 2 na ful of D.inakuwaje
 
Mh jaman xa tuliomaliza mwaka 2009 na una crdty 2 na ful of D.inakuwaje

kuna kitu kinaitwa erectoespectivity law operation kwamba kitu kinapokuwa enacted kinaanzia hapohapo hakina effect na wanyuma kabla ya kutungwa ivyo bhasi itaanzana na 2012 kwa hyo ww kama haukusomaga kuanzia 2009 na unategemea hii iwe nehma kwako,nenda veta tuu sahau hii
 
Naunga mkono hoja by 100%, Sasa kama kuanzia mwaka 2010 NECTA walianza kutumia grade mpya bila taarifa mfano D ikaanzia 35 mpaka 49 na C ikaanzia 50 mpaka 65, Sasa kwann hili lisiwezekane?
Hii ndio njia the best ya kufil gap ktk Alevel.
 
Mm 2007 nilichaguliwa kidato cha tano nikiwa na 1 ya point kumi na tano lkn kwenye kombi niliyochaguliwa nilikuwa na physics D,biology C na chemestry C,sasa ni graduate nakula bata kwa kitaa
 
Tulishangaa sana pale baadhi ya watahiniwa walipochora mazonbe kwenye karatasi zao za majibu, lakini ukweli sasa ndio huo unaanza kuonekana> Tangu lini kiongozi asiye na nia akafikiri sawasawa ndugu zangu, katika hili mimi wala sishangai na ipo siku watafuta kabisa hivyo viwango vya ufaulu ili wapite tu
 

Mkuu naunga mkono hoja yako. Yaani sasa hivi Wizara badala ya kuinua kiwango cha elimu inafanya ujanja ujanga wa kupeleka makanjanja sekondari. Kumbuka kuwa waliopata alama 70 kati ya 250 ndiyo walioenda sekondari. Kwa vyovyote vile ili kulinda hadhi ya wanafunzi walichaguliwa kwa kupata 28% ni lazima viwango vitashushwa. Hakiki imebaki miaka michache kabla Wizara haijaanza kupeleka wasiojua kusoma na kuandika A level

Mungu Ibariki Elimu yetu, walaani viongozi ambao kila siku wanawaza kudumaza elimu badala ya kuiimarisha
 
Mwaka huu waliopata DDD watajiunga na Kidato cha tano ili kujaza madarasa ya A-level. Tunawatakua kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…